Kigugadj
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigugadj kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagugadj katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigugadj ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigugadj kiko katika kundi la Kipaman.