Kigoreng
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigoreng kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagoreng katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigoreng ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigoreng kiko katika kundi la Kinyungar.