Kigolpa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigolpa kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagolpa katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigolpa ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigolpa kiko katika kundi la Kiyolngu.