Kigepo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigepo ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kigepo imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigepo iko katika kundi la Kingwi.