From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigelao Nyeupe (pia Kiduoluo) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina na Vietnam inayozungumzwa na Wagelao. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kigelao Nyeupe nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 1200. Pia kuna wasemaji 20 tu nchini Vietnam (2002). Lugha ya Kigelao Nyeupe imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigelao Nyeupe iko katika kundi la Kikra.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigelao Nyeupe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.