Kigarrwa
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigarrwa (au Kigarawa) ni lugha ya Kiyanyi nchini Australia inayozungumzwa na Wagarrwa katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2012, kulikuwa na wasemaji wa Kigarrwa 59 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni.