Kigarlali
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigarlali kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagarlali katika majimbo ya Queensland na New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigarlali ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigarlali kiko katika kundi la Kingura.