Kigarig-Ilgar
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigarig-Ilgar ni lugha ya Kiyiwaidjan nchini Australia inayozungumzwa na Wagarig na Wailgar katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha ya Kigarig-Ilgar, yaani lugha imetoweka kabisa.