Kigangulu
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigangulu kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagangulu katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigangulu ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigangulu kiko katika kundi la Kimariki.