Kigagadu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigagadu (pia Kikakadu au Kigaagudju) ilikuwa lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagagadu katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigagadu ilitoweka. Msemaji wa mwisho akafariki mwaka wa 2002. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigagadu kiko katika kundi lake lenyewe la Kigagadu.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/d3/Arnhem_Land_languages.png/320px-Arnhem_Land_languages.png)