Kierre
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kierre kilikuwa lugha ya Kigiimbiyu nchini Australia iliyozungumzwa na Waerre katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kierre ilitoweka. Hakuna uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, kwa vile kuna lugha tatu za Kigiimbiyu tu, na zote zilitoweka.