Kidyaabugay
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidyaabugay (au Kidjabugay) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadyaabugay katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidyaabugay 28 tu, yaani lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidyaabugay kiko katika kundi la Kiyidiny.