Kidjinang
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidjinang ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadjinang katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidjinang 210. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjinang kiko katika kundi la Kiyolngu.