Kidjangun
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidjangun kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadjangun katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidjangun ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjangun kiko katika kundi la Kiyalandyiki.