Kidjamindjung
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidjamindjung (au Kijaminjung) ni lugha ya Kimirndi nchini Australia inayozungumzwa na Wadjamindjung katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidjamindjung 130. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjamindjung kiko katika kundi la Kiyirram.