Kidjambarrpuyngu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidjambarrpuyngu ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadjambarrpuyngu katika jimbo la Northern Territory kisiwani kwa Elcho. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidjambarrpuyngu 2760. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjambarrpuyngu kiko katika kundi la Kiyolngu.