Kidjabwurrung
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidjabwurrung ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadjabwurrung katika jimbo la Victoria. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kidjabwurrung saba tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjabwurrung kiko katika kundi la Kikulin.