Kidhuwaya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidhuwaya ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadhuwaya katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2015, kulikuwa na wasemaji wa Kidhuwaya 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidhuwaya kiko katika kundi la Kiyolngu.