Kidharumbal
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidharumbal (au Kidarumbal) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadharumbal katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidharumbal ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidharumbal kiko katika kundi la Kimariki.