Kidagoman
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidagoman ilikuwa lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadagoman katika jimbo la Northern Territory. Hakuna Wadagoman waliobaki kuzungumza lugha ya Kidagoman, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidagoman kiko katika kundi la Kiyangwaniki.