From Wikipedia, the free encyclopedia
Kichefuchefu (pia: kijelezi, kitefutefu) ni msukosuko wa moyo unaomfanya mtu kuhisi kinyaa au uchafukaji wa tumbo na baada ya hapo mara nyingi hutapika.
Ni dalili mojawapo ya ugonjwa mbalimbali.
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichefuchefu kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.