Kibuyang cha Baha
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibuyang ya Baha ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kibuyang ya Baha imehesabiwa kuwa watu 600. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibuyang ya Baha iko katika kundi la Kikra.