Kibunganditj
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibunganditj ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabunganditj mpakani katikati za majimbo za South Australia na Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibunganditj ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibunganditj kiko katika kundi la Kikulin.