Kibumang
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibumang ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uchina inayozungumzwa na Wadai. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibumang imehesabiwa kuwa watu 200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibumang iko katika kundi la Kipalaungiki.