Kibonyezo cha ingizo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibonyezo cha ingizo au kibonyezo ingizo (kwa Kiingereza: insert key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili iingize herufi katika nakala. Kwa kawaida, herufi inaongezewa baada ya herufi uliyochagua. Kwa kibonyezo cha ingizo herufi inabadilisha herufi uliyochagua.