From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibonggi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wabonggi. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kibonggi imehesabiwa kuwa watu 1400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibonggi iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibonggi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.