Kibirrpayi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibirrpayi ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabirrpayi katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibirrpayi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibirrpayi kiko katika kundi la Kiyuin.