Kibindal
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibindal ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabindal katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibindal ilitoweka. Uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi haujulikani.