Kibigambal
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibigambal ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabigambal katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibigambal ilitoweka. Uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi haujulikani.