Kibibbulman
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibibbulman ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabibbulman katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibibbulman ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibibbulman kiko katika kundi la Kinyungiki.