Kibayali
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibayali ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabayali katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibayali ilitoweka. Uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi haujulikani kwa uhakika.