Vibarabara au bendera ni ndege wadogo wa familia ya Emberizidae. Wana domo fupi na nene lifaalo kula mbegu. Kichwa chao kina bombwe bainifu kwa kawaida. Vibarabara wanatokea Afrika, Asia na Ulaya. Spishi nyingine za familia hii zinatokea Amerika. Vibarabara hula mbegu lakini hulisha makinda wadudu. Hulijenga tago lao kwa manyasi na nyuzinyuzi ardhini au katika kichaka kifupi. Jike huyataga mayai 3-5.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Kibarabara |
Kibarabara-kaya |
Uainishaji wa kisayansi |
|
Ngazi za chini |
Spishi 43; 17 katika Afrika:
- E. affinis Heuglin, 1867
- E. cabanisi (Reichenow, 1875)
- E. caesia Cretzschmar, 1827
- E. calandra Linnaeus, 1758
- E. capensis Linnaeus, 1766
- E. cia Linnaeus, 1766
- E. cineracea C.L.Brehm, 1855
- E. cirlus Linnaeus, 1766
- E. flaviventris Stephens, 1815
- E. hortulana Linnaeus, 1758
- E. impetuani A.Smithh, 1836
- E. poliopleura (Salvadori, 1888)
- E. sahari Levaillant, 1850
- E. schoeniclus (Linnaeus, 1758)
- E. socotrana (Ogilvie-Grant & H.O.Forbes, 1899
- E. tahapisi A.Smith, 1836
- E. vincenti (P.R.Lowe, 1932)
|
Funga
- Emberiza affinis, Kibarabara Tumbo-njano (Brown-rumped Bunting)
- Emberiza cabanisi, Kibarabara wa Cabanis (Cabanis's Bunting)
- Emberiza caesia, Kibarabara Kidari-kijivu (Cretzschmar's Bunting)
- Emberiza calandra, Kibarabara-shamba (Corn Bunting)
- Emberiza capensis, Kibarabara Kusi (Cape Bunting)
- Emberiza cia, Kibarabara-mawe (Rock Bunting)
- Emberiza cineracea, Kibarabara Kijivu (Cinereous Bunting)
- Emberiza cirlus, Kibarabara Mgongo-kahawiachekundu (Cirl Bunting)
- Emberiza flaviventris, Kibarabara Kidari-machungwa (Golden-breasted Bunting)
- Emberiza hortulana, Kibarabara Kichwa-kijivu (Ortolan Bunting)
- Emberiza impetuani, Kibarabara Kipozamataza (Lark-like Bunting)
- Emberiza poliopleura, Kibarabara Somali (Somali Bunting)
- Emberiza sahari, Kibarabara-kaya (House Bunting)
- Emberiza schoeniclus, Kibarabara-matete (Common Reed Bunting)
- Emberiza socotrana, Kibarabara wa Sokotra (Socotra Bunting)
- Emberiza tahapisi, Kibarabara Tumbo-marungi (Cinnamon-breasted Bunting)
- Emberiza vincenti, Kibarabara wa Vincent (Vincent's Bunting)