![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/84/Bandjalangic_languages.png/640px-Bandjalangic_languages.png&w=640&q=50)
Kibandjalang
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibandjalang (au Kibundjalung) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wabandjalang mpakani katikati ya majimbo ya Queensland na New South Wales. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kibandjalang ilihesabiwa kuwa watu 95, na lugha iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibandjalang kiko katika kundi lale lenyewe la Kibandjalang.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/84/Bandjalangic_languages.png/640px-Bandjalangic_languages.png)