Kibai cha Kati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibai ya Kati ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wabai. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kibai ya Kati imehesabiwa kuwa watu laki nane. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibai ya Kati iko katika kundi la Kibai.