Kiayerrerenge
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiayerrerenge ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waaranda katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiayerrerenge ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiayerrerenge kiko katika kundi la Kiarandiki.