Kiarrarnta cha Magharibi
lugha asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiarrarnta cha Magharibi ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waaranda katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 1981, idadi ya wasemaji wa Kiarrarnta cha Magharibi ilihesabiwa kuwa watu elfu moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarrarnta cha Magharibi kiko katika kundi la Kiarandiki.