Kianmatyerre
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kianmatyerre ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waanmatyerre katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kianmatyerre ilihesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianmatyerre kiko katika kundi la Kiarandiki.