![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png&w=640&q=50)
Kiandajin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiandajin kilikuwa lugha ya Kiworrorran nchini Australia iliyozungumzwa na Waandajin katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiandajin ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiandajin kiko katika kundi la Kiwunambal. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kingarinyin.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png)