Kiami
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiami (au Kiame) ni lugha ya asili nchini Australia inayozungumzwa na Waami katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2007, idadi ya wasemaji wa Kiami ilihesabiwa kuwa watu 30 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiami kiko katika kundi la Kiwagaydy.