From Wikipedia, the free encyclopedia
Chasi (au Kialagwa au Algwaisa) ni mojawapo ya lugha za Kikushi zinazotumika nchini Tanzania. Inazungumzwa na Wasi: kabila hili sehemu zote wanazokaa wenyewe huongea lugha hii na ndiyo asili yao ya wazazi wao waliowakuta. Lugha hii si ya Kibantu, kwani huendana na Kifiomi, Kiiraqw na Kiburunge.
Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kialagwa imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi Kialagwa iko katika kundi la Kikushi.
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chasi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.