Kiainu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiainu ni lugha ya Kiturki nchini Uchina inayozungumzwa na Wauyghur. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiainu imehesabiwa kuwa watu 6750. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiainu iko katika kundi la Kiturki ya Mashariki.