![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e3/Tanzania_Kaskazini_%2527A%2527_location_map.svg/langsw-640px-Tanzania_Kaskazini_%2527A%2527_location_map.svg.png&w=640&q=50)
Unguja Kaskazini 'A'
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Unguja Kaskazini A ni wilaya mojawapo kati ya 2 za Mkoa wa Unguja Kaskazini yenye postikodi namba 73100.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e3/Tanzania_Kaskazini_%27A%27_location_map.svg/250px-Tanzania_Kaskazini_%27A%27_location_map.svg.png)
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 157,369 [1].
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikuwa na jumla ya wakazi 105,780 kati ya hao Wanaume ni 51,566 na Wanawake ni 54,214. [2].