From Wikipedia, the free encyclopedia
Kaliningrad (Kirusi: Калининград) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 430.003. Hapa iko makao makuu ya mkoa wa Kaliningrad Oblast.
Hadi 1945 Kaliningrad ilikuwa mji wa Kijerumani uliojulikana kama Königsberg. 1945 kwenye mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia wakazi Wajerumani walikimbia au walifukuzwa na wakazi wapya walipelekwa hapa kutoka mikoa mengine ya Urusi.
2010 mji ulikuwa na wakazi 431,902.
Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaliningrad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.