Majina ya kisayansiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Majina ya kisayansi ni majina rasmi katika matawi mbalimbali ya sayansi yanayotumia mara nyingi lugha ya Kilatini, lakini pia maneno kutoka Kiyunani.
Majina ya kisayansi ni majina rasmi katika matawi mbalimbali ya sayansi yanayotumia mara nyingi lugha ya Kilatini, lakini pia maneno kutoka Kiyunani.