Jimbo nchini Nigeria From Wikipedia, the free encyclopedia
Jimbo la Bauchi ni jimbo lililopo kaskazini mwa nchi ya Nigeria.
Mji mkuu wake ni Bauchi, wenye wakazi 6,537,300 (2016).
Jimbo lilianzishwa mnamo 1976 wakati Jimbo la zamani la mjini Kaskazini-Mashariki lilipovunjika. Awali ilijumlisha na eneo la sasa la Jimbo la Gombe, ambalo limepata kuwa jimbo tafauti mnamo mwaka wa 1996. Jimbo lina idadi ya wakazi wapatao 4,706,909 (sensa 2005) wanaoishi jimboni hapa.
Chuo Kikuu cha Abubakar Tafawa Balewa kipo katika mji mkuu wa Bauchi.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.