Jezi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jezi (kutoka neno la Kiingereza "jersey") ni vazi au nguo linalovaliwa na wachezaji pindi wakiwa wanacheza uwanjani, hasa katika mchezo wa mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa wavu na voliboli.
Pia inaweza kutumika kama sare katika nafasi nyingine mbalimbali.