Jeddah
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jeddah (kar.: جدّة jiddah huandikwa pia Jedda, Jiddah, Jidda) ni mji mkubwa wa pili nchini Saudia na bandari kwenye mwambao wa Bahari ya Shamu (21.50° N 39.1667° E).
Kuna wakazi milioni 3.4.
Jeddah ni kitovu cha uchumi na biashara cha Saudia.
Waislamu wengi hupita humo wakati wa hajj wakitumia uwanja wa ndege wa Jeddah kwenda kuhiji Makka na Madina.