James K. Polk
From Wikipedia, the free encyclopedia
James Knox Polk (2 Novemba 1795 – 15 Juni 1849) alikuwa Rais wa 11 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1845 hadi 1849. Kaimu Rais wake alikuwa George Mifflin Dallas.
Ukweli wa haraka 11 Rais wa Marekani, Makamu wa Rais ...
James Polk | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1845 – Machi 4, 1849 | |
Makamu wa Rais | George M. Dallas |
mtangulizi | John Tyler |
aliyemfuata | Zachary Taylor |
tarehe ya kuzaliwa | (1795-11-02)Novemba 2, 1795 Pineville, North Carolina, Marekani |
tarehe ya kufa | 15 Juni 1849 (umri 53) Nashville, Tennessee, Marekani |
mahali pa kuzikiwa | Tennessee State Capitol |
chama | Democratic |
ndoa | Sarah Childress Polk (m. 1824) «start: (1824-01)»"Marriage: Sarah Childress Polk to James K. Polk" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/James_K._Polk) |
mhitimu wa | University of North Carolina, Chapel Hill |
signature |
Funga