IsonzoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Isonzo ni mto wa Italia Kaskazini wenye urefu wa kilometa 136. Unaishia katika Bahari ya Adria.