Ishirini na tatu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ishirini na tatu ni namba inayoandikwa 23 kwa tarakimu za kawaida na XXIII kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 22 na kutangulia 24.
23 ni namba tasa.